kelvin kilalwe
Member
- Jan 8, 2016
- 66
- 35
Mhhhhhh umekuwa mayayi na kuku sasa Jovitha?Mmmh kwa Mimi siwezi mda mwingi napenda niwe close na mpenzi wangu
Wala hata kiukweli mwanaume akiwa na Mimi awe mvumilivu kuliko ndiyo maana huwa sipendi kuanzisha mahusiano na kijana mdogo/vijana so najua hatooweza kunihandle the way natakaMhhhhhh umekuwa mayayi na kuku sasa Jovitha?
Duh! kulngan na uzoef mi cdhan kama hat hyo miaka mitatu itafika lets say mawacliano niyashida unafanyaje?Yes yanadumu sana tu!
Mimi nina mwaka wa 3+ sasa!
Kama anajitambua na akaamua kutulia inawezekana kabisa...
Ila ukitaka long distance relationship idumu usiwe na wivu wa kijinga..
howLong distance kills........
utatambuaje kama katulia?Kama anajitambua na akaamua kutulia inawezekana kabisa...
Ila ukitaka long distance relationship idumu usiwe na wivu wa kijinga..
utatambuaje kama katulia?
Nadhan tuzipunguze lets say asilia 30 au 40,ndio wana dumu.Asilimia 50 wanadumu inayobakia hapana.Ila kikubwa mawasiliano na pia wivu wa kizembe zembe ucwepo..Mtu akiamua kuwa na mahusiano ya mbali inawezekana as long as u trust each other
Iceman kuna watu wanadumu ktk mahusiano ya mbali kwa muda mrefu sana.Mkishakuwa na uaminifu baina yenu wawili nothing is impossible ila sasa tamaa inaponza wengi ama pengine tuseme hakuna upendo wa kweliNadhan tuzipunguze lets say asilia 30 au 40,ndio wana dumu.
Yes upo sawa,Iceman kuna watu wanadumu ktk mahusiano ya mbali kwa muda mrefu sana.Mkishakuwa na uaminifu baina yenu wawili nothing is impossible ila sasa tamaa inaponza wengi ama pengine tuseme hakuna upendo wa kweli