Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Ccm imejaa watu wahongo sana
 
Uliandika pia kuhusu Lema kutimkia Ccm !
Tunasubiri mrejesho ! What happened ??!
these are living political theories and narratives. kumbuka, political dynamics is unavoidable...

Nashauri kuzihifadhi vyema theory hizi kama reference kwaajili ya kujiridhisha wakati muafaka ukifika 🐒
 
Baada ya hapo maisha yako yataboreka! Vipi, ulikosa mlo wa jana usiku?
niligombea ubunge nikiwa na laki5 tu, na sasa niko hivi nilivyo, kwa hakika maisha yangu sio tu yameboreka, bali yamebadilika mno pia...

kwa jitihada kubwa sana za Dr Samia Suluhu Hassan, hasa katika mageuzi ya kilimo sidhani kama kunamTanzania anakosa kufungua kinywa, chakula cha mchana wala mlo wa usiku,

acha uvivu gentleman 🐒
 
Huna unalojua. ACT wameshamaliza uchaguzi wao.
it is said,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and excuted in order to achieve certain political objectives..

Political dynamics is unavoidable, hakuna ramli kwenye mipango halisi 🐒
 
Upupu huyo we unahangaika nae?
Kuna mwingine ameanzisha Uzi Heche kutimkia CCM this morning wote ni upupu.
pwagu na pwaguzi wenye hofu na mabadiliko ya siasa za Tanzania wanapeana moyo 🤣
 
Nikionaga mleta ubuyu ni wewe huwa sijisumbuagi kusoma. PUMBAFU
 
Mwalimu comrade Pascal Mayalla
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee zaidi ya yote...

haikutegemewa Hayati E.G.Lowasa kujiengua CCM na kujiunga CDM, lakini ikatokea. wengi waliathirika kisiasa pakubwa mno na wengine mpaka sasa athari za gharika ile zinawatesa..

lakini pia ni muhimu sana kuepuka hofu za mabadiliko ya kisiasa ambayo hayaepukiki, vinginevyo kukumbana na mateso moyoni na kisaikolojia kila kila mabadiliko yanapotokea hayaepukiki..

katika siasa hasa za kitaifa ni vizuri zaidi kujifunza kujitegemea ili kusitokee mtikisiko anapo ondoka mwanachama muandamiz kutoka chama kimoja kwenda kingine, kama ambavyo hofu inaonyesha kutanda kwenye tetesi hii ya kisiasa 🐒
 
Kweli lema naye ashatimkia ccm

Ova
political dynamics is unavoidable movements,
ni muhimu kuhifadhi vyema tetesi na vumi hizi zinazoishi, ili kwa wakati muafaka tuzitumie kama reference kujiridhisha 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…