GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,422
- 120,747
Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
Dar sehemu gani mkuu?Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
Taifa limemuomba awaombee au anajipendekeza?Mwamposa analiombea taifa leaders
Mkuu nimecheka mpaka basi.Dar sehemu gani mkuu?
Hapa mwembechai,gari la mikate limeanguka.
Hapo sasaTaifa limemuomba awaombee au anajipendekeza?