simu isio na imei sahihi ni fake huo si upotoshaji ni fact. suala la simu ya itel imei yake kuwa ni ya tecno ni manufacture waliotengeneza simu ndio wanatakiwa walisolve na sio TCRA.
japo njia ya TCRA sio sahihi 100% lakini wapo karibu na ukweli.
na nchi nyingi duniani kuwa na imei fake ni kosa la jinai. badala ya kuwatetea hao tecno na itel ilitakiwa kichwa cha habari chako kisomeke kampuni za tecno na itel zisitishwe kuleta simu Tanzania hadi wasolve tatizo lao la ime
ingekua ni china au marekani hizi kampuni zisingeruhusiwa kufanya kazi wangefungiwa ila bongo ndio tunatetea ujinga kama huu.
hivi ushafikiri kwanini simu za itel zina imei za tecno? huni kwamba kuna uhuni hapo maybe zimetengenezwa tu hapahapa tz au Nairobi? sababu haiwezekani kupewa leseni ya kutengeneza simu A ukapewa na imei then ukaziweka simu B.
nafikiri ni vyema bwana snipa ukawaripoti polisi Tecno na Itel japo hatuna sheria ya imei ila naamini wanachofanya ni kosa kubwa na kwa hili napingana na wewe na nipo na TCRA
-zinatumia material yaliyopigwa marufuku sababu wanayapata kwa bei rahisiKuna madhara gani kutumua simu fake kama napata kile ninachohitaji na gharama yake ni ya chini?...
ambayo ni ipi? sababu sijaona solution uliotoa.Hapo tatizo sio Tecno chief, tatizo ni nyie na TCRA mlishindwa kuitambua njia sahihi yakuwaelezea wananchi na mkaeleweka.
Simu ya iTEL kuitwa tecno telecom ni kawaida kwasabu Tecno anamiliki iTEL ipo chini yake na wao imei database ni moja tu ambayo nadhani pamoja na hiyo wanayoitumia TCRA yaani inayotumiwa na hawa jamaa ITEL IT2090 - TECNO TELECOM LIMITED ,
Ukiangalia info za hiyo simu utaelewa nini namaanisha.
Namaanisha serikali haitafungia simu za iTEL kwasababu ni Original brand product ya Tecno, siyo kama mnavyotupa maana nyinyi.
ambayo ni ipi? sababu sijaona solution uliotoa.
tufundishe hio njia sahihi.
Njia inayozungumziwa hapa nimeileza sana pale juu, hiyo njia yakuangalia brand name nakudraw conclusion kupitia zile details za IMEI.
TECNO anamiliki ITEL na IMEI za ITEL zinaonyesha details za TECNO kama ni kampuni iliyotengenezwa kitu ambacho ni sahihi kabisa, lakini nyie mmepinga kupitia hiyo njia.
nimekuja na ushahidi toka GSMA watu ambao wanahusika na imei wao ndio wanaowapa makampuni ya simu ya imei na hii ni faq yao
http://www.google.com/url?q=http://...ggRMAE&usg=AFQjCNHbjy_jZRCtarW_88up1Gy4DQ9wgg
download hio document halafu soma rules za kupewa imei.
jamaa wamefafanua brands zinatakiwa zipewe imei tofauti (tecno na itel ni brand tofauti japo mmiliki anaweza kuwa mmoja)
hawakuishia hapo wakasema hadi subcontract ziwe na imei. wakimaanisha mfano hp ana rebrand tablet za huawei japo amebadili jina tu anatakiwa na imei iwe ya hp.
we mtu mzima na una akili hebu fikiria hii logic
-kwanini tuna imei?
imei ni identification kupitia imei tunajua simu ni aina gani.
sasa simu ya itel ina imei ya tecno kuna identification hapo? huoni ni kosa hili?
ni kama wewe una magari mawili
land cruiser -T 925 xxx
land rover - T 926 xxx
kisa yote mawili ni magari yako basi uchukue namba ya huku ubadili ueke huku unafikiri utakuwa sahihi?
ni feki sababu haina imei original. kitu gani kimewafanya wasifanye registration ya imei zao? kutakuwa na kitu wanakikwepa au kukiogopaUnapozidi kutetea njia ya IMEI mnayoitumia nyie unamaanisha iTEL ni simu feki, kitu ambacho sio kweli. ukikubali hapa nitakuelewa, siyo nnje ya mada unakoelekea.
Let's assume Nina itel, nmetuma IMEI yangu TCRA ikasoma kuwa nina tecno, naomba mnisaidie TCRA watajuaje kuwa cm niliyonayo ni itel? Huo ufake wanaujuaje wkt sijawatumia picha na wkt IMEI inawadanganya kuwa namiliki tecno halali kabsa inayotambulika kwao?
nimekutumia document hapo juu hujaisoma.Si ndio hizo wameregister kama Tecno maana ni kampuni yao.
Mkuu twende taratibu, ni wapi Tecno wa me declare IMEI za simu za Itel ni za kwao na wametumia utaratibu gani kufanya hivyo? Unadhani TRCA hawalijui hilo? Soma hiyo document ya chief alafu uje ujione ulivyo mbishi.Unapozidi kutetea njia ya IMEI mnayoitumia nyie unamaanisha iTEL ni simu feki, kitu ambacho sio kweli. ukikubali hapa nitakuelewa, siyo nnje ya mada unakoelekea.
Let's assume Nina itel, nmetuma IMEI yangu TCRA ikasoma kuwa nina tecno, naomba mnisaidie TCRA watajuaje kuwa cm niliyonayo ni itel? Huo ufake wanaujuaje wkt sijawatumia picha na wkt IMEI inawadanganya kuwa namiliki tecno halali kabsa inayotambulika kwao?
nimekutumia document hapo juu hujaisoma.
imei unaregister kama brand na sio kampuni. kila brand inatakiwa iwe na imei yake na huwezi tumia imei ya brand moja kwenye brand nyengine unakuwa umeharibu lengo zima la imei kama utambulisho.
na wahusika wanaotoa imei wamekataza hilo kwanini TCRA iwasikilize watu wanaokiuka maagizo? wao kama nani wapewe upendeleo?
TECNO anamiliki ITEL, Na IMEI za itel zinadetails za manufacture ambao ni Tecno, jaribu kuelewa mantiki ndogo inayozungumziwa hapa.Mkuu twende taratibu, ni wapi Tecno wa me declare IMEI za simu za Itel ni za kwao na wametumia utaratibu gani kufanya hivyo? Unadhani TRCA hawalijui hilo? Soma hiyo document ya chief alafu uje ujione ulivyo mbishi.
tecno ni manufacture?Chief IMEI inatumika kuidentify device, ikiwamo na manufacture, nilikupa link pale ya imeidata.com soma wanavyoelezea IMEI
View attachment 325654
Siyo Brand tuu kama unavyomaanisha wewe hapa.
tecno ni manufacture?
na hata hao manufacture wanatakiwa wazitenganishe imei zao hadi wakifanya subcontract ziwe tofauti