Kuna umuhimu wa ndoa

Jeorpa

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
316
155
Hivi ukiondoa Dini, kuna umaana wowote wa kua na mke?Kwa mtazamo wangu ukiwa hujaoa kidogo unakua na uburu wa kufanya chochote, hutakua na pingamizi la muda gani urudi nyumbani kwako, tofauti na mumu au mke wa mtu unaishi kama vile unaidhi na wazazi wako ukichunguza kwa makini asie na mke anaweza kufanya yote au na zaidi ya yule alie na mke.
 
Mmmh kuna umuhimu kama ukipata mtu sahihi but hakuna umuhimu kama ukipata jipu before kuoa au kuolewa inabidi tufunge na kuomba saana maana ukipata mtu sahihi kufanikiwa kimaisha ni nje nje but ukipata jipu kifail ni nje nje
Kwa ujumla ndoa ni muhimu coz unakuwa na mamlaka juu ya mwenzi wako kuliko kuwa na kimada
 
Hata ukioa utakua huru, usijihalalishie kutokuoa kwa kukimbia majukumu... Umri ukifika na haja ikikushika utakua na jibu sahihi zaidi
 
Siku Zote Thamani Ya Ndoa Huendana Na Umri Wa Mtu Husika. Huwezi Kujua Umuhimu Wa Ndoa Wakati Bado Unaakili Za Kitoto.
 
watu tunaruka majoka tu, atutaki stress za ndoa....ma stress mwisho ofisini na mjomba MAGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…