Mapandeson
Member
- Dec 13, 2023
- 12
- 26
Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
Mwambie tu uone visirani vinavyoibuka,na ongeza mashaka na ulinzi kila uendako na ukifanyacho,hata simu yako haitakuwa ysko tena ila ya pamoja.Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
Aaaaaah wee!!Nilitaka kucomment ila nimekumbuka niliyenaye ndio mzindua album, ila ni MARUFUKU kujua sababu hayamuhusu ( Namjibia rafiki yangu)
Comment,comment comment.Nilitaka kucomment ila nimekumbuka niliyenaye ndio mzindua album, ila ni MARUFUKU kujua sababu hayamuhusu ( Namjibia rafiki yangu) 😹😹😹
Kweli namjibia rafiki angu 😹😹😹Aaaaaah wee!!
Una wangapi tuanzie hapo 😹😹😹Haimuhusu na hapaswi kujua,