Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi ya mwanamke na joto la mwili?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,571
35,475
Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote, weusi na weupe.

Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini?

Kusema kweli, imenitokea Mara zote nilipokula tunda la mwanamke mweusi/black Sana nakuta wana papuchi za Moto Sana,kuzidi wanawake weupe.

Weupe kweli wanna joto, lakini weusi wamezidi. Hapa nazungumzia zaidi dada zetu Waafrika.

Je, Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi za wanawake na joto tundani?
 
jumapili yote hii unawaza takataka hizi za nini?
Naomba unisamehe Kama nimekukwaza,unaweza ukaona ni mada ya kijinga lkn Kuna Cha kujifunza.
Kama Kuna ukweli kwenye swali langu unaweza kujiona mweupe Kama mzu gu,lkini mume wako akakose njia kwa akaonja tunda la msichana wa kazi mweusi Kama mkaa au muuza bar wasio na maumbo mazuri Wala sura nzuri Kama yako akakupotezea mazima,ukatafuta waganga na waganga bila kujua sababu.Ukijua sababu tayari umepata ufumbuzi.
Mada zinafundisha hizi.
 
nikijijua mimi sio mweusi na weupe nlionao hauna joto lolote utanipa dawa ya kujicream niwe blacky?
 
Kwa mapenzi makubwa kabisa nasema, nawapenda wanawake wa rangi zote,weusi na weupe.

Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi nyeusi na ukali wa joto la mwilini?
Kusema kweli,imenitokea Mara zote nilipokula tunda la mwanamke mweusi/black Sana nakuta wana papuchi za Moto Sana,kuzidi wanawake weupe.
Weupe kweli wanna joto,lakini weusi wamezidi.Hapa nazungumzia zaidi dada zetu Waafrika.
Je Kuna uhusiano wowote Kati ya rangi za wanawake na joto tundani?
Yaani hili swali hata mrembo wa Kizungu aliwahi niuliza!
 
Hizo ni hisia za mtaani kwasababu hakuna ushahidi wa kisayansi unaoelezea hilo.
Nijuavyo mimi ni kuwa joto la mwili wa binadamu yoyote hubadilika kutegemeana na mazingira na hali aliyonayo, unaweza kulala na mwanamke x leo akawa na joto la kawaida na baada ya masaa au siku chache akawa na joto jingi, kwa waliooa hili wanalijua kupitia wake zao.
 
Back
Top Bottom