Kuna uhusiani wowote wa upara,akili,busara na utajiri

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
Inasemekana kuwa watu wenye upara,wana mojawapo au vyote hivi, utajiri au fedha,busara na akili.

Dhana hii great thinkers mnaionaje?
 
Mm sina kipara ila nywele zinaisha siin ntakuwa na kipara na ntakuwa tajiri ahahah
 
Upara una uhusiano wa moja kwa moja na utajiri
mbona billiget ni tajiri namba 1 duniani na hana upara,rostam ni tajiri namba 2 Tanzania na Dangote ni namba 1 afrika bthawana vipara-au mnazungumzia utajiri wa kutoka nywele kichwani
kwa taarifa yako upala ni ugonjwa-tafuta daktari akuelezee
 
Hao walipandikiza nywele kama rooney wa man u, kwa taarifa yako upara unaashiria unatumia ubongo wako ipasavyo
 
ni kweli kabisa mahusiano yapo, inategemea una upara mazingira gani , kuna watu kwenye ukoo wao wana upara Kijan wa miaka 25 tayari kimeaza kuonekana. kama una kipara pekee yako kwenye ukoo basi juwa ukikosa pesa akili cyo kosa lako umelithi kutoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…