Wanasema kuna shida sana, na wanasema mtoto wa kwanza anaweza akazaliwa bila shida ila kuanzia wa pili mimba zinaweza kuanza kuharibika na ili kuzuia hilo ilibidi achome hiyo sindano Massa 72 tu baada ya kujifungua. Sasa mwenzio tatizo lilijitokeza toka first pregnancy.