Kuna sheria inayohitaji kuweka picha ya Rais kwenye ofisi za serikali au binafsi?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
45,347
63,922
Kwenye ofisi za serikali karibia zote, biashara na ofisi nyingi binafsi huwa kuna picha ya Rais imetundikwa ukutani, hii huwa ni kwa mujibu wa sheria au maamuzi binafsi tu ya wenye ofisi?
 
Yes, lazima iwepo picha ya J.K. Nyerere na the current president
 
Back
Top Bottom