marveljt JF-Expert Member Jan 11, 2017 1,503 1,479 Apr 13, 2017 #1 Za asubuhi, leo katika udondozi wa magazeti kuna hoja kuhusiana na matawi ya cuf kumkataa lipumba. Je, kwa nini majina ya matawi ya lipumba yamekaa kihatari hatari? Mf. Chechnia, bagdad, osama, iraq, Kuna nini nyuma ya hayo majina au matawi?
Za asubuhi, leo katika udondozi wa magazeti kuna hoja kuhusiana na matawi ya cuf kumkataa lipumba. Je, kwa nini majina ya matawi ya lipumba yamekaa kihatari hatari? Mf. Chechnia, bagdad, osama, iraq, Kuna nini nyuma ya hayo majina au matawi?