Uhai ni maji ya watu wa kipato cha kawaida ,hebu nenda kwenye duka la karibu la mangi ulizia kati ya maji ya Kilimanjaro na uhai yapi yanauzwa kwa wingi obviously atakuambia uhaiMaji mazuri Kilimanjaro,uhai maji ya waarabu
Yes Kilimanjaro aliingia mapema sokoni na pia yanapewa support na serikali ( Kuwa endorsed na serikali )Kilimanjaro aiingia sokoni mapema ndiyo maana unaona ametapakaa kila mkoa ni sawa na gesi kampuni ya oryx kaingia sokoni muda mrefu so wapinzani wake inakuwa vigumu kumshusha
Coca-Cola wamiliki ni tofauti kila zonal..Tukiondoa maji ya kilimanjaro, hayo mengine yana zonal yake ni kama viwanda vya soda japo mmiliki ni mmoja