Kuna nguvu za giza zinatumika kwenye kinachoitwa upako. Mnakuwa wateja kwenye duka la shetani

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,245
4,397
I am not joking to any body/ faith but I think we have to use force or praying for our beloved sister and mother as well as brother and fathers to set them free from devilship chair.

Majuzi nilikuwa nimetune radio jina kapuni ilikuwa ni mahubiri ya kikristo bhana bhana nikajikuta nataka kujua huduma zao ni za kweli au miyeyusho, basi yule mtangazaji alitaja namba akasema you have tell us your problems by power of GOD your problems will disappear.

AISEE, baada ya kutuma ule ujumbe nilijikuta kama kuna kitu kinanitoka kwenye mwili wangu ghafla nikawa nimeduwaa sekunde kama 3 hivi, then ile hali ikapotea nami nikaamua nipotezee ile radio.

Kesho, jamaa akanitafuta kuwa anahitaji kuniombea hivyo nimtumie kiasi kidogo nami sijafanya hiyana nikamtupia pesa ndogo ya chai,ila wakati tunaongea najikuta akili yangu imechotwa siwezi kujibu lolote zaidi ya kumuitikia ndio,yaani hawa manabii wenu huenda hata wake zenu hawapo salama.

Kuna nguvu za giza zinatumika pasipokujilikana ila wenyewe mnasema upako, ukweli wenzetu mnakuwa wateja kwenye duka la shetani.

Nawashauri kama mnaruhusiwa kuhama makanisa basi fanyeni hima hawa manabii wa siku hizi wanatafuta pesa kwa njia mbaya.

Sifanyi mzaha wala simkejeli yeyote.

Be careful and mind your step.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom