Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda, yoyote atakayejaribu kuonyesha Gaps za Makonda atashambuliwa Kila Kona!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,419
80,697
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.

Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.

Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna wahuni wamepiga Hela.

Sasa kipigo anachopewa Gambo Kwa Sasa, jamaa hapumui Wala kuhema.

Hii yote, ni lile Kundi ambalo Linataka Paul Makonda awe Rais , wanajitahidi Kumtetea sana ili aendelee kuonekana ni mzuri na mwema !!.
 
DAB hasafishiki na hafai kuwa kiongozi
 
Botswana walikuwa na mambo km haya yanafanyika hapa kwa kila kitu.. kundi unalolisema kwa kiwango kikubwa lina utiifu kwa wastaafu, kila mstaafu ana watu wake humo..hapo Botswana aliyeleta mabadiliko tunayoona yametokea ni Rais Masisi..alianza alipokaimu Urais kutoka kwa Khama kushughulika na kundi km hili..akawaondoa wote ndani ya serikali akiwemo boss wa idara nyeti ambae alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu Khama na uchunguzi ukaanza dhidi yake kisha kupelekwa mahakamani kujibu jinai alizofanya yeye na wenzake wakati wa utawala wa Rais Khama, alikufa mwaka jana kwa stress..Masisi aliweka watu wapya ndani ya idara, na kuwaagiza wapite kila kijiji nchi yote ya Botswana wafanye mikutano ya hadhara kuwaambia watu kazi zao kwa nchi ni zipi..na walifanya! Mambo ya watu kupotea, uteuzi mbovu halafu anasingiziwa Rais..Masisi hakutaka mambo hayo yaendelee! Botswana wamefanya uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa mara ya kwanza chama cha upinzani, UDC kimeshinda viti vingi vya ubunge na Urais pia..Masisi aliwaagiza watu wa idara wasijaribu kuiba kura na hawakujaribu, uchaguzi ulikuwa huru na ulifanyika kwa amani kabisa..na yeye Masisi alikuwa Mtu wa kwanza kumpongeza Rais mteule bwn Duma Boko kutoka chama cha upinzani kwa ushindi aliopata..na alikiri hadharani kabla hata tume haijatangaza matokeo, kuwa chama chake BDP, chama tawala kimeshindwa uchaguzi!
Tanzania inahitaji mtu wa aina ya Masisi, ashughulike na hili kundi..ambaye anaiona nchi kwanza si tumbo lake, wastaafu na wachache kwenye chama tawala km inavyofanyika..mtu wa aina ya Masisi ccm hayupo kwa sasa..wengi walioko ccm ni wachumia tumbo labda Askofu Gwajima..pamoja na sarakasi zote wanafanya hawana muda mrefu hata huyo makonda wanayemtengeneza, hawataamini kitakachotokea! na watavuna walichopanda, wao na familia zao..
 
Makonda awe rais? Labda wa tff!
 
A
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.

Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.

Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna wahuni wamepiga Hela.

Sasa kipigo anachopewa Gambo Kwa Sasa, jamaa hapumui Wala kuhema.

Hii yote, ni lile Kundi ambalo Linataka Paul Makonda awe Rais , wanajitahidi Kumtetea sana ili aendelee kuonekana ni mzuri na mwema !!.
Akiwa rais tutawekewa vikwazo lukuki
 
Wana Arusha mjini watajuta kumkosa Gambo
 
yote, ni lile Kundi ambalo Linataka Paul Makonda awe Rais ,
Hakuna kundi lolote, linalotaka Makonda awe rais ukiondoa uzi huu Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! ambapo hatukujua kama Blaza angeweza kuchomoka!.
wanajitahidi Kumtetea sana ili aendelee kuonekana ni mzuri na mwema !!.
Hakuna mtu anamtetea mtu ili aonekane mzuri, au mwema, huyu dogo ni mwema kweli na mzuri wa ukweli but besides everything ni mpakwa mafuta wa Bwana!. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Hiki ni chuma Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
P
 
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.

Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.

Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna wahuni wamepiga Hela.

Sasa kipigo anachopewa Gambo Kwa Sasa, jamaa hapumui Wala kuhema.

Hii yote, ni lile Kundi ambalo Linataka Paul Makonda awe Rais , wanajitahidi Kumtetea sana ili aendelee kuonekana ni mzuri na mwema !!.
Makonda awe Rais? 😀😀😀😀😀
 
Mbunge gani unamtetea hajui hata 200000×400 ni ngapi?
Aibu nimeona mimi.Eti milioni 800 halafu unaleta bungeni watu wakusikilize.Wabunge wengine unashangaa wamekuwa vipi wabunge?Hakuna kampeini wala nini dhidi yake ni kwamba hajui na hakubali kwamba hajui.
 
Hakuna kundi lolote, linalotaka Makonda awe rais ukiondoa uzi huu Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! ambapo hatukujua kama Blaza angeweza kuchomoka!.

Hakuna mtu anamtetea mtu ili aonekane mzuri, au mwema, huyu dogo ni mwema kweli na mzuri wa ukweli but besides everything ni mpakwa mafuta wa Bwana!. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Hiki ni chuma Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Kwamba nchi imekosa kabisa cream hadi tufikie hapo.Urais sio porojo au uwezo wa kuchongea wengine.Urais ni nembo ya nchi ni maarifa,usafi wa moyo na integrity.
 
Botswana walikuwa na mambo km haya yanafanyika hapa kwa kila kitu.. kundi unalolisema kwa kiwango kikubwa lina utiifu kwa wastaafu, kila mstaafu ana watu wake humo..hapo Botswana aliyeleta mabadiliko tunayoona yametokea ni Rais Masisi..alianza alipokaimu Urais kutoka kwa Khama kushughulika na kundi km hili..akawaondoa wote ndani ya serikali akiwemo boss wa idara nyeti ambae alikuwa rafiki mkubwa wa Rais mstaafu Khama na uchunguzi ukaanza dhidi yake kisha kupelekwa mahakamani kujibu jinai alizofanya yeye na wenzake wakati wa utawala wa Rais Khama, alikufa mwaka jana kwa stress..Masisi aliweka watu wapya ndani ya idara, na kuwaagiza wapite kila kijiji nchi yote ya Botswana wafanye mikutano ya hadhara kuwaambia watu kazi zao kwa nchi ni zipi..na walifanya! Mambo ya watu kupotea, uteuzi mbovu halafu anasingiziwa Rais..Masisi hakutaka mambo hayo yaendelee! Botswana wamefanya uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa mara ya kwanza chama cha upinzani, UDC kimeshinda viti vingi vya ubunge na Urais pia..Masisi aliwaagiza watu wa idara wasijaribu kuiba kura na hawakujaribu, uchaguzi ulikuwa huru na ulifanyika kwa amani kabisa..na yeye Masisi alikuwa Mtu wa kwanza kumpongeza Rais mteule bwn Duma Boko kutoka chama cha upinzani kwa ushindi aliopata..na alikiri hadharani kabla hata tume haijatangaza matokeo, kuwa chama chake BDP, chama tawala kimeshindwa uchaguzi!
Tanzania inahitaji mtu wa aina ya Masisi, ashughulike na hili kundi..ambaye anaiona nchi kwanza si tumbo lake, wastaafu na wachache kwenye chama tawala km inavyofanyika..mtu wa aina ya Masisi ccm hayupo kwa sasa..wengi walioko ccm ni wachumia tumbo labda Askofu Gwajima..pamoja na sarakasi zote wanafanya hawana muda mrefu hata huyo makonda wanayemtengeneza, hawataamini kitakachotokea! na watavuna walichopanda, wao na familia zao..
Huu ndio uzalendo tunaoutaka.
Mimi nipo tayari kufanya hii kazi.
Baaada ya Samia, nipeni mimi 2030.
 
Back
Top Bottom