Kuna nchi ukipewa ubalozi au kufanya kazi ubalozini maisha umeyapatia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,664
Serikali ikikupa ubalozi nchi fulani ukishindwa kutoboa basi utakuwa unatatizo. Hivi unapelekwa nchi kama USA, CANADA, FRANCE, UJERUMANI, POLAND, AUSTRALIA, JAPAN, CHINA, KOREA, UNITED ARAB, RUSSIA NA N.K

sasa we upewe na lile jina la mwiguru ukafanye kazi burundi.

Ubalozi sudani au somalia
 
Inategemea. Kwa kawaida ya nchi nyingi, balozi katika nchi muhimu anakuwa tiyari ana nafasi kubwa hivyo si kwamba ndio anakuwa amepata neema ghafla bali ni mwendelezo.
Pia nchi nyingi huwa mabalozi wa nchi ngumu ndio wanalipwa zaidi. Balozi wa Marekani nchini Iraq analipwa hela nyingi zaidi ya balozi wa Marekani nchini Tanzania ambapo anaweza zunguka hata beach akinywa kahawa bila kuhitaji ulinzi mkali sana na kuwa na wasiwasi. Ubalozi wa Marekani nchini Iraq una hadi air defense systems wakati wa Tanzania hamna na mnapitisha daladala mbele yake.
 
Back
Top Bottom