EstherSaid
Member
- Jun 3, 2024
- 38
- 84
Kwa kweli naishiwa pozi nkitazama jinsi waalimu wanavyobabaika na ajira portal. Hebu wewe kama mzazi kaa chini tafakari kwani siyo kila kitu mwanao atapangiwa lazima aende. Kama umeridhia bas sawa š¹š¹muandae mtoto kuingia kweny ukulima pia baada ya kumaliza chuo, huku akiendelea kujitolea na mtie moyo wa kuzunguka na vyeti kutafuta ajira serikaliniš¤š¤