Kuna mwana MMU aliyeko Chicago?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,898
15,555
Kama kuna mwana MMU aliyeko Chicago katika jimbo la Illnois nchini Marekani ani PM.Siku tatu zijazo nitakua huko, kuna mambo mawili matatu nataka kumuuliza.

Asanteni.
 
Usisahau kunipitia hapa Mongolia........kuna mawili matatu nataka tubadilishane......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…