Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
1,183
1,800
Wakuu
Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa.

Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu?
Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili?

Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya wengi(waislam na wakristo). Tuache hizi kelele za proud to be......Hazijengi
 
Kwani ukigida nguruwe na tungi ina athiri vipi components zilizopo kwenye damu? Unajua kuwa hii sio hoja na mtume wetu alishamaliza kila kitu?

Rahmatul lil alamin#
Kama sufuria iliopika kitimoto ikaoshwa na ikaendelea na matumizi miezi kadhaa nyuma wanaikataa. Nashangaa kuh hili la damu
 
Ni upuuzi tu! Hasa Muslim sijui huwa wanajikuta kina nani?!
Mgonjwa wa kisukari anachomwa insulin ambayo totally imetengenezwa na kitimoto.. asa Kwa uhatari wa ugonjwa wa kisukari sidhani kama Kuna sheikh angepona au kupata hata nafuu.
Kisukari hakichagui hakibagui.

Am out
 
Wakuu
Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa.

Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu?
Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili?

Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya wengi(waislam na wakristo). Tuache hizi kelele za proud to be......Hazijengi
Imani ya kidini inapaswa kuwa jambo la kibinafsi sana
 
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Najivunia Neema hii kubwa mno aliyonipa Allah, na sitoificha ili wewe au mfano wako mjisikie vizuri.

Namuomba Allah akuongoze katika Uislam.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.
 
Ni upuuzi tu! Hasa Muslim sijui huwa wanajikuta kina nani?!
Mgonjwa wa kisukari anachomwa insulin ambayo totally imetengenezwa na kitimoto.. asa Kwa uhatari wa ugonjwa wa kisukari sidhani kama Kuna sheikh angepona au kupata hata nafuu.
Kisukari hakichagui hakibagui.

Am out
Ndugu yangu tafuta elimu kwanza then utajua uislamu...Hakuna sehemu Nguruwe anachukiwa ni haramu ...Tambua jambo haramu, dhambi na makruu , tafuta hayo maneno.

Hakuna uhusiano wa kula nguruwe na kuchangiwna damu ...Imaharamishwa kula tu , hakuna sehemu pameandikwa kumchukia au kuua Nguruwe ,kama unaweza kumtumia kwa mambo mengine sawa ila kula tu ni haramu ila moja kwa moja...Tafuta maana ya neno haramu ,dhambi na makruu utaelewa ni vitu tofauti.

Pombe ni haramu pia sio dhambi...Lakini kitu haramu kinaweza kupelekea dhambi kwa 99%.
 
Inatakiwa usome uislamu na tabia za watu ,hakuna uhusiano wa kuchangia damu na anayekula nguruwe ,anayekunywa pombe ,mzinzi na ikawa najisi kwako.

Hakuna kabisa swali lako halina maana kabisa ...Na kwa nn mnaongelea nguruwe tu ? Muislamu anaruhusiwa hata kumoa Mkristo na Myahudi.
 
Back
Top Bottom