dem boy JF-Expert Member Nov 4, 2016 6,510 15,633 Feb 19, 2017 #2 Hhhhhh siku 2 kabla Valentine nilibreak up kwa sasa ndo nabembeleza kurudi tena,sipendagi gharama gharama za kipuuzi mm
Hhhhhh siku 2 kabla Valentine nilibreak up kwa sasa ndo nabembeleza kurudi tena,sipendagi gharama gharama za kipuuzi mm
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 Feb 19, 2017 #3 Avatar yako imesema ukweli kuhusu sisi wanaume ila samahani ndugu hicho kichwa cha khabari maneno ya mstari wa mwisho ungejaribu kurekebisha.
Avatar yako imesema ukweli kuhusu sisi wanaume ila samahani ndugu hicho kichwa cha khabari maneno ya mstari wa mwisho ungejaribu kurekebisha.