Alipigiwa na wale matapeli wa mitandaoni wakampiga hela kwa kujidai namba yake inafungiwa kwa sababu inatumiwa na watu wawili na pia kuna hela imekuja kwake akafata maelezo akatapeliwa.
Pia, Kuna code walimwambia aiandike kwenye simu naye akafanya hivyo, simu yake tokea muda huo haiwezi kupiga na sms hazitoki.
Sasa naomba kujua namna ya kutatua hiyo changamoto, ila WhatsApp inakubali, normal text ndio shida na kupiga simu kawaida ndio shida.