Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Aug 27, 2024
467
1,167
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki!

Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu?

Naomba kuwasilisha
 
Mfate uonane naye live... Mi mwenyewe nilihangaika km miezi sita hv kumDM mdada mmoja maarufu anaitwa Tuerny. Nilipoona anazingua kujibu nilimfata hukohuko aliko, tukaongea na shida yangu ikawa imetatuliwa
Mkuu ulitisha aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom