Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 52
- 137
Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20?
- Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara mbili ndio maana ikafika Milioni 20.
Kuhusu Simba, kama wataifunga Simba atawapa motisha mara mbili na nusu ya fedha aliowapa baada ya kuifunga Yanga.
Mchezo kati ya Tabora United dhidi ya Simba utapigwa December 28 katika uwanja wa Al Hassan Mwinyi uliopo Mkoani Tabora.