MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,233
Huyo mwenye mtoto, Ana mtu huko wanae fahamiana.Kama ana ndugu Kampala sio mbaya ila kama hana ndugu huyo bado mtoto sana subiri angalau afike darasa la tano ndio umpeleke all in all shule zao ni nzuri lakini care ya mwanafunzi hapo tunawazidi.
Kama ni hivyo hamna shida ampeleke tu sizijui sana shule zao za primary nafahamu za sekondari maana nilisoma huko anyway elimu ya kule ni nzuri Hasa kwenye maswala ya lugha Kingereza wapo vizuri sana akitoka huko anakua very competent na kwa kuwa ni mdogo bora awe anatumia fast jet kwenda nae mpaka Entebbe halafu anaingia Kampala.Huyo mwenye mtoto, Ana mtu huko wanae fahamiana.
Good daddy turn bad.Mtoto wa darasa la pili... Umpeleke boarding nje ya nchi? Hivi hawa Watoto mnawatafutaga kwa kujipinda kweli au mnasingiziwa?
Lengo la uzi ni kuomba ushauri,Mtoto wa darasa la pili... Umpeleke boarding nje ya nchi? Hivi hawa Watoto mnawatafutaga kwa kujipinda kweli au mnasingiziwa?
Ushauri? Kwani huo niliutoa ni msaada wa kifedha?Lengo la uzi ni kuomba ushauri,
Hebu sema bording inatakiwa mtoto wa Darasa la ngapi?
Umesema vyema kabisa. Naongezea hivi: Wazazi waache ulimbukeni ama kutafuta sifa za kijinga Mwanangu anasoma Uganda , kwa umri huo mtoto anapaswa asome shule ya kutwa tena hapa hapa nyumbani. Boarding aende atleast akiwa form one/two.Nyinyi ndio mnaotutengenezea kizazi kilichoshindikana!
Mtoto wa darasa la pili hatakiwi hata kuishi kwa ndugu (kama wazazi wapo). Anatakiwa awe chini ya uangalizi wa wazazi ili kuhakikisha anakulia kwenye maadili.
Kuna athari kubwa sana kumuacha mwanao mdogo wa umri huo alelewe na kukulia kwenye uangalizi wa watu wengine!
By the way, huyo jamaa anaishi wapi hapa Tanzania ambapo hakuna shule za English medium?
Mbona anahangaika na vitu visivyokua na umuhimu wala ulazima?
Mwambie amtafutie shule hapa hapa Tanzania, tena asimuweke boarding. Ni hatari sana kwa umri huo!
Sawa tunashukuru, Lakini pia tunaheshim mchango wako wa mawazoUshauri? Kwani huo niliutoa ni msaada wa kifedha?
Yeah! Hata mimi wapo watoto wa ndugu yangu waliharibikia huko. Wa kike aligeuka malaya hatari, na wakiume bangi. Nilipofuatilia nikagundua ni asilimia chache wanapona kupata madhara hayo. Lakini walio wengi wanaharibika.Ni hatari, watoto waliosoma huko ninaowafamu wameribika kimaadili kabisa.