Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,818
- 24,749
Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.