utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 571
- 1,536
Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi.
Benchi la ufundi la Yanga lina kazi ya ziada kuhakikisha linaukwepa mtego huu ambao tayari unaonekana kwa macho ya wazi wazi..
Benchi la ufundi la Yanga lina kazi ya ziada kuhakikisha linaukwepa mtego huu ambao tayari unaonekana kwa macho ya wazi wazi..