Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

Tiger B

Senior Member
Dec 21, 2016
172
229
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
 
Unapaswa kupima vipimo vya body chemical elements,nuerotransmit zikiwa imbalance Kama serotonin,au dopamine lazima uhisi mwili hauko balances
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.


Ulcers is deadly tena hatari sana na utakonda na kuishiwa nguvu kabisa na kuona dunia sio yako tena, tibu haraka sana tena be very serious na ulcers, ndio dalili zote ni ulcers hiyo na utapata matatizo mengine kibao baadae sbb ya ulcers
 
Ninahisi kizunguzungu nikiinama au kutembea (siyo kikali sana). Umri ni 30s. Nimekazana kula kweli since then, but changes ni kidogo. Kiukweli kuna kipindi nimepitia hapa nyuma stress zikanipiga kidogo. At the moment sina. Mazingira ninayoishi ni ya kawaida ie hewa ni safi na mazingira yenyewe.
 
Iyo ni dalili ya sumu mwilini labda Kuna mazingira unavuta hewa ya sumu (viwandani) au unakula vyakula vya super market sana ( Artificial food ) chunguza kwanza hali ikiendelea rudi kwa doctor
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
Kuna vitu vingi vinashusha kinga mfano steroidal drugs ,chemotherapy, mtu mwenye diabetes nk.
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
Depression inapunguza sana kinga za mwili
 
Iyo ni dalili ya sumu mwilini labda Kuna mazingira unavuta hewa ya sumu (viwandani) au unakula vyakula vya super market sana ( Artificial food ) chunguza kwanza hali ikiendelea rudi kwa doctor
I wanted to say like this but I hesitated because .....

Angekuwa jirani na hapa nilipo ningemdokeza kitu fulani, lakini kwa hapa jukwaani haiwezekani.
 
Naomba nikuulize vitu vichache tu'

1. Je, unahisi una hofu iliyopitiliza namaanisha ukihisi kitu au kuhisi kuudhiwa na jambo huwa unapata changamoto ya kuchoka ghafla ambayo hupelekea wewe kuacha kufanya majukumu mengine

2. Je, wewe ni mtu wa kukaa ndani muda mrefu au kujitenga Tenga peke yako mara nyingi?

3. Je, unatabia ya kukosa usingizi hasa usiku wa manane (midnight)?

4. Una marafiki wa ngapi? Na kama unao wangapi uko nao active

5. Je, uwezo wako wa kujiamini mbele za watu upo? Na kama haupo umepungua kiasi gani?
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
Habari,
Kwa suala hili lako unahitaji kupata mtaalamu wa afya akusikilize na kujua mwanzo mwisho wa kinachokusibu, kwani bado kuna maelezo zaidi yanahitajika:

1: Kizunguzungu: kupata tafsiri halisi
A: Kukosa nguvu
B: kichwa kuwa chepesi/light headed.
C: vitu au mazingira kuona yanazunguka/spinning.

2: Muda wa dalili husika/kipindi/duration.

3: Dalili nyingine mwambata.

4: Dalili za mafua au kikohozi/flu like symptoms

5: Uzito wako ndani ya mwaka mmoja, umebadilika?

6: Vipimo vyako vya awali/vitals

7: Majibu ya vipimo ulivyofanya kwa ujumla.
Mfano: hicho cha damu umetoa kipengele kidogo tu, je vingine vikoje?

8: NK.

NB: Bila kufanya hivyo hapo juu, kila mmoja atakuja na fikra zilizosahihi kulingana na maelezo machache. Hapo itazidi kukuchanganya na utaweza kufanya vipimo vingi ns kupata majibu yatakayozidi kutokukidhi hitaji lako la msingi.
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
kwaiyo uto tuvipimo tu ndo unaona tunatosha kutatua kitu kisichoonekana
 
Umuofia kwenu Wakuu.

Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.

Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells kuwa 3.5 badala ya 4 na kuendelea.

Then after, vipimo nilivyopima:
1. HIV -negative
2. Hepatitis B - negative

Niligundulika pia nina ulcers, na hapa ninakaribia kumaliza dozi ya wiki 1 (heligo 500).

Kiukweli ninajiuliza maswali, kama ulcers pekee zinaweza kushusha kinga na kufanya mwili uwe dhaifu hivi au kuna underlying cause ambayo haijajulikana?

Naombeni msaada wa mawazo.
Andikaa wosia mapema mkuu kama una mali za kugawa...else uwe karibu sana na Mungu mda wote furahj na ndugu jamaa na marafiki kifupi usiache skutubu ukilala
 
Ninahisi kizunguzungu nikiinama au kutembea (siyo kikali sana). Umri ni 30s. Nimekazana kula kweli since then, but changes ni kidogo. Kiukweli kuna kipindi nimepitia hapa nyuma stress zikanipiga kidogo. At the moment sina. Mazingira ninayoishi ni ya kawaida ie hewa ni safi na mazingira yenyewe.
Hiyo hali imewahi kunipata. Nilipatwa na kizunguzungu. Nilikuwa naona dunia Ina spin. Nilichofanya: Nikafunga na kuomba masaa 24. Baada ya hapo nilihisi kama nilifungwa na kamba na mtu ananifunguwa. Baada ya hapo nikapona. Ila dunia hii Ina Mambo mengi. Kama unaweza muombe Yesu, atakusaidia hilo. Mimi nikisaidiwa
 
Back
Top Bottom