Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,196
- 4,318
Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa zaidi ya watu elfu 40 ilikuwa ni kitu cha kawaida ila karne hii ya 21 elimu inaendelea kutubakishA salama kwenye sayari hii ya dunia,ingawaje katika nchi nyingi za daraja la tatu TANZANIAA ikiwemo na ndiyo mfano wangu MAMBO NI TOFAUTI.
NAKUMBUKA MAISHA YA CHUO WENGI HUWA NA AKILI ZA KITOTO
Ujue katika dunia binadamu tunaishi kwa makundi na ndani ya haya makundi ndio tabia nyingi za kutupumbaza na kijinga hutokea imagine unapokuwa chuo miaka 3 inapita hujiandai kwa maisha yako ya kesho bali unabase sana na kusoma,marafiki na starehe,tunapokuwa na marafiki zetu wengi tunasahau hali za nyumbani,lengo na mengineyo sababu kubwa ni kuwepo kwenye jumuiya(kikundi) unakuwa sawa na mtoto kama hutaweza kuongoza emotions zako basi maisha kwako huwenda yakakufanya kuwa magumu uwepo na baada ya chuo wengine kupitia marafiki wengi wanadisko...hata wale ambao wapita kwenye hii mbungi basi huwa siyo akili zao either NONDO,KAHONGA RUSHWA N.K .
WAKUFUNZI WANADOJI SANA VIPINDI
Hichi kitu serikali isipofatilia wanafunzi wengi wanaozalishwa wanakuwa incompitent sababu ni kwamba lectures wengi hawana mahudhurio ya darasani unakuta mwezi mzima mnapigwa assignment za group au semester nzima teacher anaingia vipindi vitano na bado wanafunzi wanchelea matokeo yake tunazlisha wanafunzi mabomu badala ya kuwa msaada kwa TAIFA LETU zipo sababu nyingi leo nimeitoa hiii tu.
NAWASILISHA