Kuna haja ya club kuja na tuzo zao, hizi za TFF ni kichefuchefu

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
198
780
Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.

Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing.✍️

IMG_0625.jpeg
 
Kabisa yan!

Haya mambo ulaya ni kawaida sana, mwezi uliopita nilishuhudia chama langu the blues ikimwaga matunzo kwa wachezaji wake kadhaa licha ya kuwa na msimu mbaya
 
Back
Top Bottom