Huwezi kuwa na akili timamu mkuu,like seriously unauliza eti wamama gani Hapo ninao waongeleA?na eti wananchi wa kawaida hawapigwi. We sio mzima wewe kabisa. Kwani kinachofanyika Syria,kilichotokea Libya waliokufa ni askali tu.??? Wanalipua mpaka ma hospital halafu unasema raia wa kawaida hawapigwi,wanalipua mpaka mashule na wafanyakazi wa kutoa misaada halafu unakuja na agenda zako za ki abunuwasi..you still a member who want those stupidity things to happens. huu Uzi haukufai.Wamama gani hao unawaongelea?
We hujui vita ikipigana wananchi wa kawaida kama sio military hawaruhusiwi kupigwa, hua ikitokea ni collateral damage tu, kwa hiyo siyo makusudi.
Vita si kitu kizuri kabisa, ila ni a necessary evil, nchi ka North Korea inavyokua controlled na mtu moja ambaye kwao ni ka mungu wanaamini kashushwa sio ya kuiacha ovyo ovyo izidi kupata nguvu, akili ya mtu moja siyo ya kuiamini hata kidogo siku yoyote akigeuka anaweza anzisha mashambulizi, ndiyo maana vita ni necessary kuzuia mtu kama huyu kuendelea. Sasa hivi tayari ashakua threat kua na nuclear weapons, ilifaa wawe washamuondoa zamani sana, uzembe uzembe ndiyo umemfikisha hapa. Unaweza kaa ukahisi kua anachokozwa, ila we hujui watu wenye ego, wao kila kitu wanahisi wanachokozwa tu hata kama ni wao wanatafuta uchokozi.
Bila vita makundi ka ISIS na Al-shabaab yanaweza grow very strong wakatumaliza watu wote ambao tunapingana na principles zao, we unasema vita isiwepo huku vitabu vyenu vya dini quran na vinaongelea vita kila mara, hehehe! ni rahisi sana mtu wa dini kugeuka kua extremist anytime, vita lazima viwepo kuhandle watu wa namna hiyo. Sio kitu kizuri ndiyo ila kama nilivyosema, ni necessary evil. Ukweli ni kwamba haiwezekani hata kwa dawa binadamu tukakaa kwa amani 100%, tuna tofauti nyingi sana na mahitaji, piga ua hatutokuja kuelewana hata kama tungekua nchi moja lazima ingetokea vita tu baina ya makundi flani ya watu na interest tofauti. We endelea kuomba ila unayemuomba kama yupo kweli basi anajua wazi kua mambo mengine yapo tu, kwani vita imeanza leo?
Huwezi kuwa na akili timamu mkuu,like seriously unauliza eti wamama gani Hapo ninao waongeleA?na eti wananchi wa kawaida hawapigwi. We sio mzima wewe kabisa. Kwani kinachofanyika Syria,kilichotokea Libya waliokufa ni askali tu.??? Wanalipua mpaka ma hospital halafu unasema raia wa kawaida hawapigwi,wanalipua mpaka mashule na wafanyakazi wa kutoa misaada halafu unakuja na agenda zako za ki abunuwasi..you still a member who want those stupidity things to happens. huu Uzi haukufai.
Mimi si muislamu lakini Kama hao waislamu wameidhinisha vita basi ni wao.
This is special for anti-N.Korea & anti-USA and anti-war
Go find your place
KEMkuu kan'tangaze wewe ni KE au ME?
Mimi sishabikii upande wowote, and nishatangaza sina interest ya kutokea kwa vita mean while vice versa to you.Hehehd mkuu mbona mkali?
Waliolipua bomu kuua wanawake na watoto Syria kwani ni US? Au unabif tu na US?
Au hukusikia US kalipua weapon manufacturing facility juzijuzi ambazo zilikua zinatengeneza chemical weapons zilizotumika kuua hao unaowaongelea?
Sema unaongea kiushabiki, ila ungekua umesoma vizuri ungeona kabisa nimeeleza kua wamama hua sio target, inatokea kama collateral damage, au labda hujui maana ya collateral damage? Na vita vinapigwa Syria ili kupinga huo ujinga sio kuuongeza.
Hapana katika hizo sisi Mimi nitoe huko,sipendi kabisa Yaani. Mtu unashangilia vita ni kushangilia mauaji. Sijui mtu utajibu kwa MunguSisi ni kawaida yetu kuchekelea ndugu tuache tu.
Hujaona mtu anafurahi polisi kuuwawa na siraha kuporwa,hajui siraha zitamuua nani baada ya hapo, wala hana shida ya kujua ndugu za marehemu wako katika hali gani, ilimradi kajisikia tu kufurahi.
Hapa tumefurahi tu sababu NK anaonekana atapigwa/atapigana hatuoni kama nayeye ana haki ya kuishi duniani ila kupotezwa.kwanini apotezwe pia hatujui yaani apotezwe tu.
Tz ni watu wa ajabu sana.
Mimi sishabikii upande wowote, and nishatangaza sina interest ya kutokea kwa vita mean while vice versa to you.
Niambie N.Korea alimu attack nani na kuingilia Uhuru wa nani? USA Ana produce Sana silaha mpaka Hana cha kuzifanyia,niambie alivyolitumia MOB hajaua RAIA wasio na Hatia??
Sipendi wote wanavyoendelea kubishana na wanavyotaka kutuletea vita,Kama unapenda Sana nakushauri usafiri uende huko huko ukashuhudie vizuri.
Acha ujinga wa kupendelea masuala ya vita vita unless huna ndugu ambao ukiwatazama basi unaweza kuwafiliria na RAIA wa nchi hizo wapigwe. Utajibu nini kwa Mungu wako ikiwa damu za mamilioni zitamwagika na uliendelea kuchekele na kufurahia.
Haitosaidia kitu zaidi zaidi ni kurudishana nyuma, massive destruction ya miundo mbinu na properties. Dare you kuendelea kushangilia watu safe. Maana vita ni kuuana.
Afadhali.
Hiyo id.Kwanini mkuu?