Kuna familia zina laana ya asili

Mila nyingi ambazo wazee wetu wali zitukuza,zinaweza kuwa ndio chanzo. kwani mila kwakawaida huambatana na viapo na maagano.

Kwamfano.huenda wazee katika kuabudu mizimwi walikuwa waki iambia tuta kuabudu milele.
Au tuta waheshimu milele lamda wazee walizikabidhi.familia zao kwa mizimwi.
Nina hisi mizimwi inapo ona ili ahidiwa kuabudiwa milele nakwasasa haiabudiwi tena ndio ina leta shida.

Mtazamo.
 
Kweli Mkuu ni laana zilizotukuka. Kukumbatia mila na desturi za zamani wengi wetu zimeingizia familia zetu mzigo mkubwa. Sometimes you wonder! Why only me and my family kha! Asante kutukumbusha. Lakini na maombi nayo hayajibiki sometimes. Ni mawazo yangu na utafiti wangu. Wapendwa wa Mungu tusaidiane ktk hili!
 
 
Unalo lisema lipo na linaandama familia nyingi ..unakuta ni maagano kwa mfano unakuta familia suala la ujenzi kwao ni kama mkosi kabisa..
 
..yeye ataangaziwa kuiona hali ilivyo na atataka kuchukua hatua.."
Mkuu Mshana jr hapo funguka zaidi hasa huyo 'yeye'
Atafanikiwa? ile chain ya balaa itaisha..na Yale mafanikio yake yatadumu baada ya 'yeye'..?
Hili si jambo la maramoja na rahisi hata kidogo kwakuwa linahusisha roho nyingi na mtanziko wa muda mrefu ...lakini hatimaye baada ya matukio mengi hali hiyo huweza kuisha lakini huondoka taratibu na kwa muda mrefu
 
Kweli kabisa. Ndio maana investment zangu nyingi nafanya mbali na nyumbani. Maana ukiinvest nyumbani (kijijini) ndo unazidi kujiexpose
watch emanuel TV kuna kitu utakipata na ukiamini, ipo njia ya kukufungua. Ni kweli ni Yesu tu aliyewambwa Msalabani mimi pia naamini hivyo na mimi pia napita kwenye huo moto usiozimika, familia yangu ni janga, janga, janga na mimi binafsi najiona ninadondoka siku hadi siku napigana kufa kupona lakini bado sijauona uso wa bwana, lakin naamini kupitia damu ya kristo ntafunguliwa na ndiko nilikobobea japo safari ni ndefu na ya vilio na mateso makubwa
 
Mshana nakupendeaga hapo tu,kila unaloleta humu ni dhahabu thanx na mungu akujaalie,mzigowangu hujanitumia picha lakini
Hiyo ishu ni ngumu kama hakuna maarifa.
Kuna sehemu ktk bible panasema "wanangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Anavosema mshana ni kweli Kuna familia zi ateseka sana katika dunia hii kwa kukosa maarifa tu. Naona hate mshana mwenyewe hajapendekeza suluhisho hasa leo amepita juu juu sana kuhusu nini kjnapaswa kufanyika. Kasema tu atokee kuwaongoza Wenzie kufuatilia chanzo. Hili sio jibu lililokamilika nilitegemea mpaka kuandika haya angekua na undani wa nini hasa suluhisho hitimifu la matatizo ya aina hii.
Lakini bwana KICHINJIO bahati nzuri ametoa uchambuzi mfupi Lakini mzuri sana na ametoa suluhisho last matatizo haya. Soma comment yake juu huko. Hilo ndio suluhisho kuu. Ingawa KICHINJIO hajaingia ndani zaidi juu ya maarifa gani hutakiwa Lakini Hilo hasa ndio suluhisho kuu.
Kwa matatizo kama haya Hilo ndo jibu. Kwingine kote utakesha. Maarifa yanapokosena mateso yatawaandama milele na milele daima. Tena ukiamua kuchukua mchepuo wa waganga kutatuta tatizo ujue ndo utakesha milele na matatizo. Pia ukiamua kupitia njia ya mungu ndio sahihi kama alivoandika KICHINJIO Lakini napo katika njia Hiyo kama utakosa maarifa mtabaki na mateso na Malaana hayo milele ni mpaka muwe na maarifa. "Watoto Wangu wanateseka kwa kukosa maarifa" nimeisahau hii bible verse Lakini ndio mpango mzima unaanzia hapa. Itafute ikusukume kutatuta kujua ni maarifa gani hasa tunayoyakosa ambayo biblia imeyazungumzia. Ukiyajua na kuyafuata baasi ndio mkomo wa matatizo yenu. Ndoa zitaimarika. Kazi zitafunguka. Biashara zitanawili. Wachawi watakuona kama simba watakupitia mbali. Mikosi kwako mwiko.
Unaweza kuwa unakwenda kanisani kila siku na ukiwa huko unalia na kutoa machozi kila kwa mungu Lakini wapi. Unaweza ukawa unalia ndani kwako machozi ya damu ukimlilia mungu juu ya laana zikusumbuazo Lakini waaaapi shida ziko pale pale mwishowe unaishia kusema hakuna mungu duniani wala yesu hakuapo. Kumbe masikini Kuna sehemu ndooogo sana unaikosea saaaana. Hayo ndio maarifa yasemwayo ktk biblia. Ingawa uchungu wako mkuu kwa mungu kunaweza kufanya mungu akusukume kuyajua maarifa. Au kukukutanisha na ayajuaye maarifa.
 
Ulichokiandika hapa ni kweli na wazi kabisa maana yanaonekana kwenye jamii zetu,,,,,,,,,,kuna familia zingine wakiolewa au kuoa hawadumu katika ndoa na kama wakidumu ni migogoro na ugomvi kila kukicha
 
mshana jr ni kweli unachosema;
Familia ya baba yangu ninayeambiwa ndiye mzazi wangu kuna ishu,
miaka hiyo jirani alikuwa na kesi, ikabidi aazime hela kwa mzee kwa
makubaliano kuwa nisiporudisha pesa chukua sehemu ya shamba,
kesi ilipoisha jirani akarudisha pesa lakini mzee kakomaa hataki pesa
anataka eneo, hii kitu kimeshaigharimu familia, tena naijua mimi tu
na ni mtoto wa nje;
Ninachoamini mimi ni DAMU YA YESU TU inatosha;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…