Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo UkongaTatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Nimegundua hata sakata la Mchanga wa madini ni dalili ya frustration ama scapegoat ya serikali katika hali halisi ya uchumi.Tatizo Mkuu ni huyu mtu mmoja ambaye kawajaza woga watendaji wake kiasi cha kushindwa kumwambia kwamba anakoipeleka nchi siko. Hivi baraza lote la Mawaziri likiamua kumvaa huyu dikteta uchwara kwamba nchi inayumba awasikilize washauri wake na aachane na udikteta atafukuza wangapi!? Hivi wastaafu Mawaziri Wakuu na Marais wakijipanga kwenda kuongea naye Ikulu kuhusu nchi kwenda mrama atawafanya nini!?
Kwanini mtu mmoja aachiwe kuiyumbusha nchi kiasi hiki na wale walio karibu yake waamue kukaa kimya kwa kumuogopa!?
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Ni kweli kuna pesa nyingi inatumika kwa ajili ya kumlinda Daud Bashite Mfano jana kamati ya wabunge Dodoma wamepewa pesa nyingi sana, Hosptal hazina dawa viwanda hakuna lakini pesa ya kumlinda Bashite Daudi ipo nyingi sana.hela zote kapewa bashite ajisafishe
duh!!,wee jamaa ni bonge moja ya ch*ko aisee.Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Kweli bashite unampenda hata kwenye habar za bungeni MKUU wa mkoa anaingiaje tena hebu toa uthibitisho wa kauli yako wabunge gani wamepewa pesa kumlinda bashite? Thibitisha kauli yakoNi kweli kuna pesa nyingi inatumika kwa ajili ya kumlinda Daud Bashite Mfano jana kamati ya wabunge Dodoma wamepewa pesa nyingi sana, Hosptal hazina dawa viwanda hakuna lakini pesa ya kumlinda Bashite Daudi ipo nyingi sana.
Bajeti ya kumlinda makonda Daud kwa sasa inazidi bajeti za wizara tatu ni aina fulani ya ufisadi pia wapo wafanyabiashara wanalazimishwa kumsaidia makonda kujihami na pressure za wananchi wanaotaka afukuzwe Dsm,Soko la hisa limeshuka toka Billion 33 mpaka 3
Wamepewa pesa ili wamlinde Daud ngojea matokeo ya kamati ya bunge ndipo utabaini kuwa walipewa Rushwa.Kweli bashite unampenda hata kwenye habar za bungeni MKUU wa mkoa anaingiaje tena hebu toa uthibitisho wa kauli yako wabunge gani wamepewa pesa kumlinda bashite? Thibitisha kauli yako
Umelogwa wewe bure kabisa.Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Baada ya Idara ya maji katika miji ya Bukoba, Tabora na Musoma kusitisha kutoa huduma kwa wananchi za maji baada ya Idara hiyo ya maji kushindwa kulipa Tanesco bili za umeme ni dalili tosha kwa serikali ya awamu ya tano ina hali mbaya ya kifedha, kwa ujumla hali ni mbaya katika mahospitali ya miji hiyo.
Tanesco napo hali ni mbaya kifedha mpaka imefikia hatua kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma kwa shirika hilo hilo kusimamisha kutoa huduma baada ya shirika hilo kushindwa kuwalipa madeni yao. wastaafu wengi hawajalipwa mafao zao ni hii imewaletea kuwa na hali ngumu ya maisha na kuanza kuishi maisha ya kuombaomba.
Ni wakati muafaka wa wabunge wa kikao kinachokuja kuungana ili kuiokoa Tanzania katika hali tuliyonayo hatutaki ahadi nyingi zisizokuwa za msingi kama hiyo bajeti ya trillion 31 wakati huku kwa wananchi hali ni mbaya sana kwa wananchi kufikia hatua hata huduma za muhimu kama maji inaanza kukosekana. Hivi kweli leo Serikali ya awamu ya 5 inawaza kuwa na ndege kumi na reli ya kisasa wakati maji wala madawa hospitali hakuna. Jana nimekisitika sana na kitendo cha aibu kwa kamati kuu ya CCM kukutana Ikulu na kujadili masuala ya majina ya wagombea ubunge badala ya kujadili masuala yanayohusu hali halisi ya nchi kiuchumi.
Lipumba kumfanyia fujo Maalim Seif, michanga bandarini na masikendo kibao wsnayokuja nayo ni njia ya kutaka kuwasahaulisha watanzania juu ya Nape na Daud Bashite, bado wamekariri kuwa watanzania ni wepesi wa Kusahau lakini wameshangazwa issue ya Daud Bashite Wamegoma kusahau na hskuna dalili ya kusahau.Nimegundua hata sakata la Mchanga wa madini ni dalili ya frustration ama scapegoat ya serikali katika hali halisi ya uchumi.