Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,420
- 72,619
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.
Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi ilivyofanana na Rolls Royce.
Kama zilivyo Rolls Royce, izi chuma zimekua designed kwaajili ya abiria (boss) wa seat za nyuma, na ndio maana nyuma kuna unyama hatari.
Bei yake inaanzia $170,000 tu, wakati Rolls Royce Cullian inaanzia $400,000 tu.