Uzi ufungwe hapa ,mleta mada aende jukwaa la mapishi akachambue vitunguu.Kuandika kwenyewe hujui kuanzia thread hadi ID yako huo ubora wa show utaujulia wapi?
Know your place, hili limekuzidi maarifa.
Wasaniii bwana.....nyimbo mpaka watungiweNi aibu kwa msanii mkubw kama ally kiba .... kupeqa nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
HahaaaNyimbo alitunga nyingi tu ila hapendi show off.
Nadhani kuna kitu huelewi kuhusu mialiko ya wasanii kwenye ufunguzi au matamasha mbalimbali ambayo msanii uhitajika kwa ajili ya kutoa burudani.Ni aibu kwa msanii mkubw kama ally kiba .... kupeqa nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
Si ungetunga wewe na kwenda kufanya hayo unayotaka afanye.Ni aibu kwa msanii mkubwa kama Ally Kiba .... kupata nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo ambazo haziendani na tukio lenyewe..
Hujawaona wale madancer au kiasili ipi?Frankly speaking hata mimi nilitegemea mtumbuizaji wa nyimbo za kiasiri hivi. Sasa sijui nimlaumu Kiba au wandaaji?
Lile sio jukwaa la utalii.Anam wimbia Wenger ..mke wa mtu sumu kweli badala aimbe vivutio vyetu