This is just an illusionSasa kidume utakunywaje Savana, flying fish na reds
Wakati unajua hizo bia zinaongeza nyege na muwasho Kwa mademu.
Ntakuja mfanyiwe vibaya
We kaka wewe,Mungu anakuonaSasa kidume utakunywaje Savana, flying fish na reds
Wakati unajua hizo bia zinaongeza nyege na muwasho Kwa mademu.
Ntakuja mfanyiwe vibaya
u hata kilimanjaro lagerSafari lager beer ya kiume
Hujui matumizi ya hizo bia Kwa mademuWe kaka wewe,Mungu anakuona
Kwani mwanaume hana hamu?
Zipo zinazolowesha ndo za kike.Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Wanaume ndio wanaoongoza kunywa Pepsi!kwasababu hulka na mapokeo ya jamii yanaamini vitu vyenye utamu utamu maranyingi huwa ni vyawanawake!, zote ulizotaja hapo zina u sweet ndani yake na hilo li flying fish ndo kama juice kwajinsi lilivyo litamu!..
Redd's na savannah ni Cider kwasababu zinatengenezwa na apple!.
so ishu ni mapokeo tu wala hakuna bia yakike na yakiume!.
Moja kati ya bia nayoikubali ktk hii dunia ni Heineken na Serengeti lager.
Bia tamutamu zote ni za kike.Desparado nayo mnaihesabu ni ya kike?!