Sio kweli
Wengi wa wanafunzi wametoka shule za serikali aidha
Special kwenda special
Cream za shule za kata kwenda special
Wachache private kwenda special
Ukumbuke wakuu hawapendi sana kuchagua watoto kutoka private kwa sababu hawa wamezoea spoon-feeding ilihali kufaulu kwenye hizi shule za serikali ni self determination na kujituma.Miaka yetu miwili niliyokaa pale Tabora Boys hatukua na mwalimu wa Physics lakin watu walifanya vizuri tu