Kidabwenge
Member
- Oct 20, 2019
- 20
- 58
JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Women empower, hao ni wana harakati, yuko radhi akukunulie chips lakin asipikeJANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Minaona tatizo kubwa nu maleziJANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Unamjibugi hivohivo mumewe?Kama ni rahisi pika wewe
Kabla hamjaoa muwe mnawafanyia interview au kama vipi awe amepitia kabisa shule ya mapishi.Unamjibugi hivohivo mumewe?
Kama mwanamke anajua ama hajui kupika utajua tuu kabla hata ya kumuoa, hii haihitaji interview dada anguKabla hamjaoa muwe mnawafanyia interview au kama vipi awe amepitia kabisa shule ya mapishi.
Nadhani hata hio "Taasisi ya ndoa" unayoizungumzia huijui vizur au view yako imeharibiwa either na experience ulizopitia au mlizofundishana.Ushauri mwingine...sio lazima uoe. Ajiri mpishi awe anakupikia, mfanyakazi wa kufua na kufanya usafi. Watu kama nyie ndo mnaharibu taasisi ya ndoa kwa uvivu wenu.
Mtoto miaka 3 anaamka kwenda shule saa 11 na nusu akirudi anaenda tuition miaka 11 anamaliza la Saba ila Kwa hiyo miaka 7 au 8 hakuna alichojifunza nje ya kiingereza na anko na madam na school bus,kufua hata chupi yake hawezi wazazi wengi tumeamini kwenye elimu Kwa hiyo no problem ua vingine vyote anavyotakiwa kujifunza Mtoto ila shule,Mtoto ana miaka 24 tayari ana masters ila hakuwa na muda hata wa kwenda kwa anti yake kumsalimia wala Hana anaemjua zaidi ya Baba na mama na school bus na anko wake na babysitter wakeJANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
Una maneno mengi yasiyo na maana.Kama mwanamke anajua ama hajui kupika utajua tuu kabla hata ya kumuoa, hii haihitaji interview dada angu
Nadhani hata hio "Taasisi ya ndoa" unayoizungumzia huijui vizur au view yako imeharibiwa either na experience ulizopitia au mlizofundishana.
Iko hivi kama huwez kumsaidia mumewe na kazi kama hizo za kawaida ili kumfanya atulize akili akutafutie wewe na watoto chakula na malazi, what good are you to him? How do you justify your contribution kweny hio ndoa?
Boss akikwambia uwe unawahi, uko tayar kukosa usingizi na kuamka saa 11 ili uwahi usigombane na boss, magari ya kuchukua takataka yakisema kusanyeni taka zenu j'mosi tunapita mnafanya haraka kukusanya, ila mme wako anayekupenda, anayejitoa kwaajili yako wewe na watoto eti unamuona mvivu anakunyanyasa akikuomba ufagie sebule.
Na usiku majambazi wakivamia huyohuyo mumeo ndo atakaye jitoe uhai wake akulinde wewe na watoto ila akikuomba umwandalie chai unaona anakunyanyasa, kweli??
Demi Badilisha mtazamo wako
😂😂 mi mwenyewe kwa kweli sijui na sina mpango!Kama ni rahisi pika wewe