GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 368
- 634
Unapokuwa na mpenzi wako mbele za watu either sokoni, barabarani,hotelini,club,beach nk huku ukionyesha mahaba kwa kumbembeleza na kumdekeza kama mtoto mdogo je,ni ishara ya u-gentleman au ni ujinga?
Mfano kumfungulia mlango wa gari.
Kumbebea mizigo yake.
Kumsaidia kuvaa vizuri vitu vyake.
Kumlisha chakula
Kumbeba