Kumbukumbu za wapendwa

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,574
1,766
Habari wakuu,

Kumbukumbu ya Wapendwa Wetu

Mwaka Gani Hautosahau?

Tunapokaribia mwisho wa mwaka, tungependa kuwapa nafasi ya kutoa shuhuda zenu za mwaka ambao hautosahau kamwe kwa sababu ya kumpoteza mpendwa wako. Inaweza kuwa kutokana na ajali, ugonjwa, uvamizi, au sababu nyingine yoyote.

Unaweza ukatoa kisa chako kifupi kuhusu mpendwa wako uliyempoteza jinsi alivyokuwa muhimu kwako na jinsi kifo chake kilivyokuathiri

Lengo ni kumbukumbu juu ya machungu ulipotia kupitia kisa hiko

Nilipokutana na picha hii nikakumbuka nilipoteza mtu muhimu sana kwangu na nilikuwa nasoma nikawaza nitaishije bila yeye ila nashukuru mungu mpaka leo niko vizuri kweli wakumtegemea ni mungu, nitawaletea kisa changu mda sio mlefu hapa.

1734963631076.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom