uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,598
Rais wetu mzalendo Hayati John Magufuli tarehe 17.03.2024 siku ya Jumapili atatimiza miaka mitatu toka kulala kwake usingizi wa daima
Kupitia haiba yake ya
Uzalendo
Uchapakazi
Upendo
Uaminifu
Kujitoa
Uvumilivu
Msikivu
Ucheshi, upole na huruma kutoka kwake
Vijana mnaweza kujifunza kutoka kwa magufuli ktk uongozi wa kizazi cha leo na kesho
Ktk kipindi hiki ambapo uzalendo unaonekana ni ushamba ukifananisha na wanaofanya ufisadi vijana bado mnayo nafasi kumtumia magufuli km kinara wenu kuipeleka Tanzania ktk nchi ya asali na maziwa
Tunaiomba serkali imuenzi magufuli kwa dhati kukamilisha miradi yake bora aliyoiacha yenye manufaa kwa Taifa
Katika sala zetu tuendelee kumuombea mpendwa wetu aliyejitolea sadaka kwa ajili ya nchi yetu nzuri