KUMBUKIZI: Mpina aliwahi kutoa mapendekezo Makamba, Maharage Chande, Bodi ya TANESCO washtakiwe kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,266
3,542
Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya uhujumi uchumi na kula njama za kuiba mapato ya selikali.

Pia soma: Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

Hii ni baada ya Mkurugenzi kuongezewa muda wa mwaka mmoja kukamilisha ujenzi wa bwawa la nyerere kinyume na utaratibu na sheria na hivyo kuiingizia serikali hasara kubwa.

NB: Hii ni TBT ambayo ambayo Mpina aliongea baada ya kuchangia kwenye vikao vya bunge baada ya kamati kuwasilisha taarifa zake bungeni. Video hii imeibuliwa leo baada ya Makamba kutenguliwa juzi katika nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Nje kuonesha baadhi ya madudu aliyofanya Makamba akiwa Wizara ya Nishati

Pia soma:
Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Akiwa anaongea na waandishi wa habari leo Julai 23, 2024 Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya uhujumi uchumi na kula njama za kuiba mapato ya selikali.

Hii ni baada ya Mkurugenzi kuongezewa muda wa mwaka mmoja kukamilisha ujenzi wa bwawa la nyerere kinyume na utaratibu na sheria na hivyo kuiingizia serikali hasara kubwa.
Hii ngoma bado mbichi sana kumbe, wacha watoane macho sio tuko palee na popcorn
 
Akiwa anaongea na waandishi wa habari leo Julai 23, 2024 Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya uhujumi uchumi na kula njama za kuiba mapato ya selikali.

Hii ni baada ya Mkurugenzi kuongezewa muda wa mwaka mmoja kukamilisha ujenzi wa bwawa la nyerere kinyume na utaratibu na sheria na hivyo kuiingizia serikali hasara kubwa.

Kuna wakati naamini Makamba alistahili kutumbuliwa punde tu alivyoondolewa wizara ya Nishati, kilichompeleka mambo ya nje ni vile alikuwa anatafutwa mwenzie achinjwe nae, bahati mbaya Nape ndie akajichanganya kwa ule ujinga alioongea akiwa Bukoba.

Makamba aliharibu pakubwa sana akiwa wizara ya Nishati, rushwa za wazi kabisa akafanya kama ile ya kugawa mitungi ya gas siku ile bajeti ya wizara yake ikipitishwa, ilikuwa ni ajabu sana mtu mchafu wa aina hii kuhamishwa wizara badala ya kuondolewa kabisa.

Ule mkataba wa hovyo kwa ajili ya maintanance $30milion, ambao leo hii hatuambiwi wapi umefikia.

Naamini urafiki wa Samia na Makamba snr ndio uliomfanya pia huyu jamaa aendelee kuvumiliwa mpaka kuhamishwa wizara, badala ya kutumbuliwa straight away kama Nape.

Kujuana sio tu kulimpa cheo Makamba lakini pia kulimfanya avumiliwe zaidi ya Nape pale alipokosea tena kwa makosa makubwa zaidi, kwa Nape ilikuwa one mistake one goal.
 
Akiwa anaongea na waandishi wa habari leo Julai 23, 2024 Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya uhujumi uchumi na kula njama za kuiba mapato ya selikali.

Hii ni baada ya Mkurugenzi kuongezewa muda wa mwaka mmoja kukamilisha ujenzi wa bwawa la nyerere kinyume na utaratibu na sheria na hivyo kuiingizia serikali hasara kubwa.

Mpina for presidence 2025.
 
Sema huyo jamaa hata aibu hana aisee anapiga mno.

Alikua anapiga na anajiamini hakuna wa kumfanya lolote.

Tena hao anaofanya nao dili mpaka anawafuata kabisa kuwaambia wasimkwamishe kwenye dili zake.

HIi nchi kuna watu wamefikia a certain level of impunity and audacity kiasi kwamba hawatakiwi tu kutumbuliwa na kuwekwa jela bali waliwe nyama kila mwananchi apewe supu na nyingine tuwatumie frozen kwa wachamba rasa kama akina The Mongolian Savage
 
Back
Top Bottom