Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,118
- 2,474
Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI