Kumbe Uganda ni official BRICS + Partner Country!

State Propaganda

JF-Expert Member
Apr 25, 2024
432
1,131
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)

1. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil
2. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia
3. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India
4. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China
5. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa
6. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช UAE
7. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran
8. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
9. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia

Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)

10. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
11. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ Belarus
12. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Bolivia
13.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ Cuba
14.๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia
15.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฟ Kazakhstan
16.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ Malaysia
17.๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria
18.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ญ Thailand
19.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey
20.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Uganda(๐Ÿ‘๐Ÿ‘Big up m7)
21.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan
22.๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ Vietnam

Tanzania๐Ÿ˜• wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"

So Fkng stupids๐Ÿ‘น
 
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)

1. Brazil
2. Russia
3. India
4. China
5. South Africa
6. UAE
7. Iran
8. Egypt
9. Ethiopia

Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)

10. Algeria
11. Belarus
12. Bolivia
13. Cuba
14. Indonesia
15. Kazakhstan
16. Malaysia
17. Nigeria
18. Thailand
19. Turkey
20. Uganda(Big up m7)
21. Uzbekistan
22. Vietnam

Tanzania wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"

So Fkng stupids
We unataka tunyimwe msaada na US
 
Kila nchi inaangalia uwwzekano wa kujikwamua kiuchumi, kidiploamasia, kisiasa, kiulinzi na kijamii. Pia, si kila nchi inaweza kupata nafasi au kukidhi vigezo vya kuwa mwanachma wa jumia mbalimbali duniani. Usikute Tanzania haina vigezo, haijtaka au ipo ktk waiting list.
Hata hivyo naamini vigezo ni muhimu zaidi ktk jumuia kama hizi kulingana na wakati. Pia, usikute washirika wetu hawatapenda Tanzania kujiunga so hapo tunasoma upepo. Ikumbukwe pia hivi karibuni Tanzania imeonekana zaidi mashariki kuliko magharibi.
 
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)

1. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil
2. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia
3. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India
4. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China
5. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa
6. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช UAE
7. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran
8. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
9. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia

Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)

10. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
11. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ Belarus
12. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Bolivia
13.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ Cuba
14.๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia
15.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฟ Kazakhstan
16.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ Malaysia
17.๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria
18.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ญ Thailand
19.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey
20.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Uganda(๐Ÿ‘๐Ÿ‘Big up m7)
21.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan
22.๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ Vietnam

Tanzania๐Ÿ˜• wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"

So Fkng stupids๐Ÿ‘น
Nchi yetu haifungamani na upande wowote
 
Ikiwa hivyo ndio itakuaje?

Nimewahi andika kwamba ulisikia sera ya kutofungamana na upande wowote ni unafiki na Haina Msaada Bali hasara.

Tanzania tunataka tuwe tunakula pande zote zote japo huwezi pata sawa na wale waliochagua upande maana unakuwa huaminiki yaani unaweza kuwachoma wenzako.

Mwisho inakuaje Nigeria ambae ni kibaraka wa West anakuwa swahiba? Si Bora hapo angekuwepo Tanzania?
 
Tatizo tunajiunderestimate sana Tanzania ila kuna uwezekano ukija kwenye uhalisia Jamhuri si nyepesi kama inavyoonekana kwa nje. Maamuzi inayochukua linapokuja suala la upande gani ikae mpaka sasa naamini ni sahihi kwa watu wake.
 
Sijui point yako ilipo, lakini mimi naamini BRICS ikikuwa na kupata nguvu inayofanana au kukaribiana na taasisi za Bretton Woods itakuwa nafuu kwa ulimwengu maana ukiangalia hizo nchi ambazo tayari members, kuna meaningful consideration ya kiuchumi.
Atoe pesa mwingine harafu wewe uje kuchukua Kwa maelezo ya meaningful sijui nini? Ujinga mtupu,Africa tumeshundwa ndio tutegemee Umoja mwingine wa Wazungu?

Si Bora tuchangie pesa Iko tuwe na usemi mkubwa AfDB badala ya USA na Wazungu kama ilivyo Sasa?
 
Hii jumuiya inaonekana haina ubaguzi Tanzania tukabanane tu huko huko,

kuliko hizi jumuiya nyingine za kinafki mkikutana vikaoni mnachekeana mkienda kwao wanawapakia kwenye makosta kama Timu za wilaya.
 
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)

1. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil
2. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia
3. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India
4. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China
5. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa
6. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช UAE
7. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran
8. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
9. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia

Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)

10. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
11. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ Belarus
12. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Bolivia
13.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ Cuba
14.๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia
15.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฟ Kazakhstan
16.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ Malaysia
17.๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria
18.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ญ Thailand
19.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey
20.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Uganda(๐Ÿ‘๐Ÿ‘Big up m7)
21.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ Uzbekistan
22.๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ Vietnam

Tanzania๐Ÿ˜• wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"

So Fkng stupids๐Ÿ‘น
Acha kuwafananisha Waganda ambao nipo nao hapa nchini Kwao Uganda na Wapumbavu wengine wanaojulikana.
 
Atoe pesa mwingine harafu wewe uje kuchukua Kwa maelezo ya meaningful sijui nini? Ujinga mtupu,Africa tumeshundwa ndio tutegemee Umoja mwingine wa Wazungu?

Si Bora tuchangie pesa Iko tuwe na usemi mkubwa AfDB badala ya USA na Wazungu kama ilivyo Sasa?
Pesa kama ilivyo rasilimali nyingine duniani hazinaga mwenyewe. Kinachomata ni utilization capacity and ability. Wee wache wazitafute mwishowe tutaenda kuzikopa na maisha kuendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom