Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...

Leo ni Karume Day, nami naomba kujiunga na Watanzania wenzetu maadhimisho mema ya Karume Day na kuwatakia mapumziko mema.
RIP Abedi Amani Karume.
Paskali
 
FaizaFoxy Mohamed Said Pascal Mayalla Huyu Anaweza kuruhusiwa kutembelea Zanzibar ?
Mkuu Yoda 、kwanza asante sana kuni tag,uzi huu Huyu ndo sultan wa Mwisho wa Zanzibar
Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake .

Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂 . Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu .
Mkuu Danielmwasi, asante sana kwa bandiko hili, anaonekana ni mtu rahimu sana, aruhusiwe tuu kurejea Zanzibar.

Zanzibar ni one of my very special area of interest, yale mambo yangu ya kupenda misosi, nilipita mahali almanusura nisimishwe!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Tukirejea kwa huyu Sultan, kwa vile hakufukuzwa Zanzibar, alijiondokea mwenyewe, he is free kujirudia mwenyewe. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Kwa vile huyu kosa lake ni moja tuu Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe... tumemuomba。Rais Samia na rais Mwinyi wamsamehe tuu, wamkaribishe Zanzibar aje kumalizia Zanzibar, siku zake chache za maisha yake zilizobakia ili aki... ,a ... Zanzibar.

Mimi mwanajeiefu mwenzenu ni Mzee wa masauti nimeisha elezwa kitu na nikakieleza humu Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said Atafurahi Zaidi, Kama Ata... Zanzibar!, Rais Samia, Rais Mwinyi, Sameheni, Mtabarikiwa Sana!.

Na baada ya kuisikia sauti hiyo, tulituma ombi rasmi kwa Rais Samia Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?

Huu sasa ni wakati muafaka huyu Sultan aruhusiwe kurejea Zanzibar.
P
 
Kwani huyu jamaa alifanya kosa gani mpaka umuombee msamaha?......
Watu wote walioikombia Zanzibar kabla ya Muungano, wamepoteza haki za uraia wa Tanzania, wana passport za UK, nawaombea msamaha wapewe amnesty warejee Zanzibar.
p
 
Nimeangalia Azam TV siku za karibuni, ni wazi mwarabu anarudi kwa kasi ya 4G Zanzibar, tena kwa njia zile zile za mwanzo.
 
paschal Mayalla.
Nilipofika ulipodai Karume alikuwa ni muasisi wa mapinduzi nikaacha kusoma nilijua ni absolutely rubbish.
 
paschal Mayalla.
Nilipofika ulipodai Karume alikuwa ni muasisi wa mapinduzi nikaacha kusoma nilijua ni absolutely rubbish.
Mkuu BabuFey ,heshima kitu cha bure,kuita bandiko hili “absolutely rubbish” sio kunitendea haki, ni kweli kabisa Abedi Amani Karume ndiye alikuwa muasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ila siku ya mapinduzi hakuwepo Zanzibar kwa sababu maalum.
p
 
Kosa hapo ni kukimbia Zanzibar kabla ya muungano?...
Kwa mujibu wa katiba yetu sio kosa kwa mtu yeyote kwenda popote au kuhamia popote, ila wale waliokuwa raia wa nchi ya Zanzibar kabla muungano, sasa hakuna tena uraia wa Zanzibar, watu hawa wanahitaji some sort of amnesty kuwa Watanzania
p
 
Watakubali kuachia uraia wa huko walipo?
 
Nimeangalia Azam TV siku za karibuni, ni wazi mwarabu anarudi kwa kasi ya 4G Zanzibar, tena kwa njia zile zile za mwanzo.
Anaweka pesa tu ila kuiongoza serikali ni ngumu,,,,,kikubwa uchumi wa nchi ukue ila minyororo ya utawala kupinduliwa ngumu
 
Nimeuliza amnesty kwa kosa gani ?
 
Wale walioikimbia nchi mwaka 2001 nao pia walipoteza Utanzania Uzanzibar ?
No, hawa hawakupoteza, sio kila mkimbizi anapoteza utaifa wake, akikimbia nchi, mkimbizi anaepoteza utaifa wake ni yule anayepewa uraia wa nchi nyingine, na kuhesabika ameukana Utanzania.

Kuna wakimbizi wengi tuu bado ni raia wa nchi zao.
P
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…