Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,778
239,452
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

Screenshot_2024-07-27-16-16-26-1.png
Screenshot_2024-07-27-16-23-28-1.png
"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
 
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom