bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,684 May 6, 2017 #2 Duuh! Kwahiyo nikimuona niombe mzigo!!
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 May 6, 2017 #4 Conspiracy theories tu hizo!
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 May 6, 2017 #5 Naisujaki Lekangai said: Conspiracy theories tu hizo! Click to expand... inaonekana wewe ni mpakaji mzuri
Naisujaki Lekangai said: Conspiracy theories tu hizo! Click to expand... inaonekana wewe ni mpakaji mzuri
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 May 6, 2017 #6 white hat said: inaonekana wewe ni mpakaji mzuri Click to expand... Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!!
white hat said: inaonekana wewe ni mpakaji mzuri Click to expand... Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!!
dingihimself JF-Expert Member Jan 9, 2016 9,665 20,041 May 6, 2017 #7 hii kibongo bongo kwa sijui imekaaje
Vhagar JF-Expert Member Jun 8, 2015 20,455 39,732 May 6, 2017 #8 Tukitaka kufatilia kila jambo mwanzo wake mengi yatatushinda.
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 May 6, 2017 #9 Naisujaki Lekangai said: Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!! Click to expand... Haya bana sema wengine wanatisha watoto utadhani wametoka kuchinja kuku kwa mdomo
Naisujaki Lekangai said: Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!! Click to expand... Haya bana sema wengine wanatisha watoto utadhani wametoka kuchinja kuku kwa mdomo
bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,684 May 6, 2017 #11 Naisujaki Lekangai said: Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!! Click to expand... Ukiona hivyo ujue unakosa virutubisho fulani mwilini afu na nanilii inakuwa siyo tamu km mdomo huwa unapauka..
Naisujaki Lekangai said: Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!! Click to expand... Ukiona hivyo ujue unakosa virutubisho fulani mwilini afu na nanilii inakuwa siyo tamu km mdomo huwa unapauka..
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,193 12,172 May 6, 2017 #12 Amavubi said: View attachment 505045 Click to expand... Huu sasa uchochezi