Kumbe Mzee Lowassa aliepusha mengi Kwa kujiuzulu, huko Nchi Jirani Rais na Naibu wake wanamwagiana Siri hadharani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,147
164,581
Hakika hayati Lowassa alikuwa ni Mwanasiasa aliyekomaa sana

Alimuuliza swali moja tu Dr Mwakyembe

Lowassa: Harrison hivi ulishindwa kuniita kwenye Kamati Yako upate kusikiliza maelezo ya upande wangu?

Yanayoendelea kwenye Seneti la Kenya muda huu ni Majawabu kwanini Dr Harrison Mwakyembe alitumia busara ya kutomhoji Waziri Mkuu

Impeachment ya Naibu Rais Gachagua inaendelea mubashara Citizen tv

Karibu sana 😂😂😂
 
Back
Top Bottom