Kumbe kuna Wa/Mtanzania ni miongoni waliopata maafa ya hamas uko Israel

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
3,024
9,142
Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
Screenshot_20231010_095520_X.jpg
 
Serikali itoe taarifa ya vijana walioenda kujifunza kilimo Israel wapo salama au la? Ikiwa usalama wao uko shakani kwa nini wasirudishe kwanza nyumbani hadi hali itakapo tengemaa?
 
Hii imekaa kitaalam sana, ukisoma mwishoni ndo imejipambanua ni propaganda ya kuhalalisha kitakachofanywa gaza!
 
Back
Top Bottom