Kumbe kuna jeneza Self na hamsemi!

Agresive

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
890
1,229
Naamini tuko pamoja na tunaendelea kupambana.

Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni.

Wiki hii jumatatu nilikuwa nasafiri kwenda eneo fulani, Siti niliyokaa nilikuwa nimekaa na kaka mmoja hivi age 23 hadi 30yrs

Kutokana na maongezi yake kwenye simu ilionesha wazi anakwenda msibani na muda huo alikuwa anaongea na MUUZA MAJENEZA KWA SIMU.

Kitu kilichonishangaza ni majeneza aliyokuwa anaulizia na muuzaji akimjibu kutokana na bei na hadhi ya jeneza.

Kitu kilichonishangaza ni KUULIZA JENEZA AMBALO NI SELFCONTAINER NA MUUZAJI KWELI AKAMWAMBIA BEI YAKE NAYE PIA AKAWAPA MREJESHO WAFIWA.

Baadhi ya majeneza yaliyoulizwa na kupewa bei ilikuwa

1. Jeneza la kawaida la kufungua.

2. Jeneza lenye switch

3. Jeneza ambalo ni Self
Na yote aliambiwa yapo na bei zake pia.

Pia hivi karibuni nilisikia RC CHALAMILA akiongea clip moja kuwa tupunguze mbwembwe kwa marehemu NA AKISEMA JENEZA MPAKA UNAWEZA PASSWORD

Nikabakia na maswali hili jeneza Self kumbe marehemu tunachimba dawa na kukata gogo humo humo.

ISHI UONE MENGI.

Wajuzi wa mambo haya karibuni.
 
Ni kosa kisheria. Hiyo pesa uliyonayi si yako, ni mali ya Benki kuu. Wewe umepewa dhamana ya kuitumia tu. Ukiifukia, ukiichana makusudi au kuichoma moto una hatia!
Aliyekuwa mume wake Zari mzazi mwenzake Diamond alizikwa pesa za kutosha
 
Back
Top Bottom