Kumbe kodi ya ardhi hulipwa kwenye eneo lililopimwa tu- Mtalaamu kutoka wizara ya ardhi

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Leo katika mahojiano redioni nimemsikia Mtangazaji wa Clouds FM akihojiana Na Maafisa Ardhi Kutoka Wizara ya Ardhi.Moja ya maswali waliyoulizwa ni Juu ya Kodi ya Ardhi.

Maafisa hao wamesema kodi ya Ardhi hutozwa kwenye Eneo/Shamba/kiwanja kichopimwa Na kumilikishwa.

Wadau mtakumbuka Waziri wa Ardhi aliwahi kutamka kuwa maeneo yote yaliyopimwa au la yatatozwa kodi ya Ardhi mjadala ambao bado unaleta maswali kadhaa ikiwa pamoja Na kujua hicho Kiwango cha Kodi kitajulikana vipi kama hakuna upimaji.
 
Lukuvi na matamko! anatamka tu. Ni kwa vile watanzania to makondoo, huyu ilikuwa kumpeleka mahalkamani orders ambazo ni ultra vires!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…