Wadau wana JF eti siku hizi huduma za wajawazito na watoto zinalipwa na mgonjwa katika hospitali ya Muhimbili.
Kuna mama amelazwa muhimbili kwa shida za ujauzito, amemweleza mumewe kwamba kunatakiwa malipo ya huduma, mfano, vipimo vya Ultra Sound.
Je! Hili limeanza lini? kwamba huduma za wajawazito sasa hivi sio bure tena?
*HAPA NI JOB ONLY!! NO JOKES!"